Freestyle ya Heaven Sent akiimba mashairi ya KassimYa Kassim eeh?😂😂
Freestyle ya Heaven Sent akiimba mashairi ya KassimYa Kassim eeh?😂😂
JF itatetemaaFreestyle ya Heaven Sent akiimba mashairi ya Kassim
Bilashaka diyo uko njiani unakuja kuungana na sisi vijana wako kusheherekea hii sikukuu ya Iddi
Eeeh mnichinjie vyuku vya kutoshaBilashaka diyo uko njiani unakuja kuungana na sisi vijana wako kusheherekea hii sikukuu ya Iddi
Karibu sana mama mchungaji
Kuna mbuzi wawili wameshaanguka hadi hivi sasa, naomba umwambie Saint Anne asije akasema sijamwambiaEeeh mnichinjie vyuku vya kutosha
Ewaaa mambo ndiyo hayo sasaKuna mbuzi wawili wameshaanguka hadi hivi sasa, naomba umwambie Saint Anne asije akasema sijamwambia
Jumatatu ijayo tarehe 9 May!Hivi wanaanza lini?
ujumbe gani tena??? Sijapata ujumbe wowote !
Soma comment ya Depal inayofata baada ya hiyo uliyoniquoteujumbe gani tena??? Sijapata ujumbe wowote !
Mm nimeanza Leo lkn jion

ni kula tuKuna bia?Mm nimeanza Leo lkn jion
Maini rost
Mishikaki (mbuzi)
Chips
Pilau
Juisi fresh tunaanzia
Kesho ndo Mambo yenyew
Tunaanzia asubuhni kula tu
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Bia hamna pia huwa situmii labda mgeni akija anaependa atanunuliwa
Upoooo?
Heri ya sikukuu ya Idd
🙏🙏🙏🙏