Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

DR wee sitaki, tutagombania na wengine.
Nataka niwe na mtu, had waniulize "wee yule umempendea nn?" Uwiiiiiih
Ingawa sipendagi hizi Stori za kusifiana sifiana uzuri hasa Kwa mwanaume Ila Ngoja nikuambie kitu mrembo wangu..

Haijalishi mwanaume au mwanamke anaponda kiasi gani kuhusu kumiliki mwenza mzuri wa mwonekano ..uhalisia ni kwamba kila binadamu anapenda amiliki mwenza anayevutia Kwa mwonekano..hizi Stori za napenda mwanaume personal ni kufurahisha genge tu

Nakuja na fact nyingine...😀
 
Kassim anaimba yule boya, anabembeleza chaaa.

Lalalalalallaalaaaaaaaa
Tazama sura yako ilivyo nzuri
Macho mazuri, najihisi rahaaa
Tazama midomo yako mizuri
Miguu mizurii, najihisi raahaa
Tazama unavyonipendeza nipendezaaa, Najihisi rahaa
Tazama ninavyokupenda Nnavyokupenda, Najihisi rahaa
Napenda unavyoniheshimu kiukweli japo sio sana nakuomba zidisha
Napenda kauli zako ni nzuri japo sio sana nakuomba zidisha

Wanaosema asali inazidi utamu kuliko mapenzi nakataaa
Wanaosema asali inazidi utamu kuliko kupendwa nakataa ayaayaaya

Usiende kwa mganga (usiendeeee baby wangu)
(Usiende mpenzi wangu)
Nisikize mpenzi wangu
Lalalalalalilihaaa lalahaalaaah
Mama mchungaji ebu weka na ka voice note kanogeshe hii nyimbo tafadhali
 
DR wee sitaki, tutagombania na wengine.
Nataka niwe na mtu, had waniulize "wee yule umempendea nn?" Uwiiiiiih
mwisho..

Kila mwanamke anapenda kuwa na mwanaume anayevutia.Kinachofanya mwanamke anakuja na kauli km yako ni either aliumizwa na hao mnaowaita wenye mwonekano au hajiamini..anahisi atatendwa,au ataibiwa,au atasumbuliwa akiwa kwenye ndoa/mahusiano (watu wengi shuhuda zao ni zinazunguka hapo endapo utajaribu kutuliza swali)

Kwa hiyo ana-opt kuchagua hao "personal" ili mambo yasiwe mengi kipindi kwenye ndoa/mahusiano

Hii ina-apply na Kwa wanaume pia,ndy maana wanaume wanapenda Kusema wanawake wazuri ni wa show off Tu,Ila ukitaka kuoa tafta mwenye Sura personal ili maisha yaende..
 
IMG-20220502-WA0028.jpg


Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom