cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Ice mbna ulipotea sana? Afu nliona kuna jamaa alikua anatumia avatar yako, sijui nan vile nmesahau,Mkwepu ata comment leo
Uwiiiiiih kumbe upo lol.
Ice mbna ulipotea sana? Afu nliona kuna jamaa alikua anatumia avatar yako, sijui nan vile nmesahau,Mkwepu ata comment leo
Glowing skin [emoji2956][emoji833] taulo na shuka.
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Ma favie colour.
View attachment 2209042
Weuweeeeeeh yaan kesho asubuh, najua nitavimba mtaan,Nipo mwaya[emoji12]
Sasa nimeshajifungia najiandaa na Idd labda kesho mwaya
Eid njema rafikiNipo mwaya[emoji12]
Sasa nimeshajifungia najiandaa na Idd labda kesho mwaya
Aaaah wapi wee dea.Glowing skin [emoji2956]
Ahsante sana bestEid njema rafiki
Kweli dearAaaah wapi wee dea.
Thank youAhsante sana best
Karibu sana sana
Mimi nipo dear napitaga humu kimya kimya nikipata nafasiMic u dea, mbna umepotea sana wee.
Yaani akilikosa hilo taulo inabidi ajinyonge tuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha upambe bas nawee,
Sepfika leo basi dear😜Mimi nipo dear napitaga humu kimya kimya nikipata nafasi
Yaan Jah kaninyima utumizi wa mafuta ya kulainisha ngozi,Kweli dear
Ngozi inangaa hiyo
Hebu nibariki bas na selfie, [emoji7][emoji7][emoji7]Mimi nipo dear napitaga humu kimya kimya nikipata nafasi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23] kheeeeeh teynaaaa, usitake kumrusha roho shouzz angu, ataanza kuniganda bureee.Yaani akilikosa hilo taulo inabidi ajinyonge tuuuu
Ooh una bahati eehYaan Jah kaninyima utumizi wa mafuta ya kulainisha ngozi,
Mwendo wa baby care tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitaselfika kesho mpendwaSepfika leo basi dear😜
Kesho unikumbushe dear nitupieHebu nibariki bas na selfie, [emoji7][emoji7][emoji7]
Kiukweli mie natumia cocoa butter tyuuuh,Ooh una bahati eeh
Baby care tu na unapendeza hivyo
Usijar ntakukumbusha mwayaa. [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Kesho unikumbushe dear nitupie