Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nlibahatika kukutana nae live posta ktk ofisi 1 ya umma, alikua na jamaa fulan hivi walikuaga wote ktk movie zao, yaan nlivomuona nilipatwa na shauku ya kutaka kumsalimia ila nliogopa,

Walivyotoka nkamuuliza mtu wa pale akanithibitishia ni yeye na yule jamaa n mumewe. Yaan kaolewa na msanii mwenzake.
Oh kumbe!
Amepotea sana kwenye uigizaji.. nilikuwa nampenda, enzi hizo jumba la dhahabu .
 
Ooh yeah
Alikuwa yupo vizuri kweli .. legendary kabisa
Hapa nasubiri nione movie ya ITV niliiona week iliyopita inaitwa mimba .
Nilijaribu kuangalia nikaona hainivutii.

Huyu Mohammed Nurdin sijui yuko wapi siku hizi.

Na huyu mama alikuwa anapendeza akiigiza ukali.

IMG_20220501_224139_090.jpg
 
Nilijaribu kuangalia nikaona hainivutii.

Huyu Mohammed Nurdin sijui yuko wapi siku hizi.

Na huyu mama alikuwa anapendeza akiigiza ukali.

View attachment 2208133

Hiyo ni part 2 yake ndo maana haijakuvutia
Ooh amepotea na yeye tunaishia kumuona kwenye movie za zamani .
Mimi hata sikuiona tanesco walitukatia umeme toka jana .
 
Nlibahatika kukutana nae live posta ktk ofisi 1 ya umma, alikua na jamaa fulan hivi walikuaga wote ktk movie zao, yaan nlivomuona nilipatwa na shauku ya kutaka kumsalimia ila nliogopa,

Walivyotoka nkamuuliza mtu wa pale akanithibitishia ni yeye na yule jamaa n mumewe. Yaan kaolewa na msanii mwenzake.
Nikita na Kelvin. Lini sijui niliona mahojiano yao wanasema wanarudi kwenye acting..
 
Oh, baby, everythin' you do is amazin'
Ain't nobody watchin', go crazy
I got what you need
Everybody think you shy but I know you a freak
Lil' baby (oh), everythin' you do is amazin' (yeah)
Ain't nobody watchin', go crazy (yeah)
I got what you need (yeah)
Everybody think you shy but I know you a freak
Lil' baby (yeah)
 
Back
Top Bottom