Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Shida tupuMtihani haswa
Hapo waweza kuta imeungua upande au kwa chini mara isiive vizuri .
Shida tupuMtihani haswa
Hapo waweza kuta imeungua upande au kwa chini mara isiive vizuri .
Nipo wizooo,ila Mara chache snNa kwenye yebo upo![]()
Uko vizuri🔥Nipo wizooo
Ooh vyema , zipo addictive mnoOK,kiukweli mi sio mpenzi wa movie,tamthilia kihivyo, kawaida tu!
Ila nikikaa na mtu anaependa sina shida huwa naswitch haraka sana na nainjoy kabisa!
Ooh niceYeah hii nataka nishone
Ila kitambaa lzm kiwe kizito,hapo nje ya 'skuba' unachemka
Siku pika mzinga wa nyukiShida tupu
Weeeh😂Siku pika mzinga wa nyuki
Maana unajua kubalance moto
Mapigo yako ya kibabe sana mkuuNimenunua jana hivi.
Size ngapi unavaa? Naweza kuja TZ baadaye mwaka huu.

Unajua bhanaWeeeh
Najua wapi?
Nabahatisha tu![]()
Eating is a hobby.... 🤣Sikatai 🙈🙈
Yes ilitikisa mnooo.Kama niliisikia hii
Yupo vyema
Ooh okayYes ilitikisa mnooo.
Hennah?


Keshokutwa,EID MUBARAKView attachment 2207899View attachment 2207900
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app




Mie ndo mambo ya hivyo nilishashindwa, najua tu, vitumbua, chapati aina zote, maandazi bas.Unajua bhana
Mimi najua kubalance kwenye wali tu ila kwa vitu kama hivyo sitaki kujichosha aisee ..
Keshokutwa,![]()


Mimi nilifunga na nduguzangubwa saudia 