Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

khaaaah sitaki.
FB_IMG_16514359630857281.jpg
 
Siku zote maumivu maumivu
Yapo kutufunza
Tukipata furaha, jinsi gani ya kuitunza
Huko nyuma hukumu
Hukumu zilisha nikumba
Na mateso kung'ang'ania
Pendo usipopendwa
Niliforce kujificha kule kumbe
Chaka langu ni hapa
Sasa napewa amani
Mapenzi yasiyo na mipaka
Ananikanda huku mabegani
Ananishika na hapa
Masage mgongoni
Yananilevya makopa
Niliforce kujificha kule kumbe Chaka langu ni hapa😉
Amebarikiwa Utu na utulivu
 
Back
Top Bottom