Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Sisi tunajua ni kesho[emoji23]Idd ni jumanne
Sisi tunajua ni kesho[emoji23]Idd ni jumanne
Duh! Dizasta...Putin sucks!
Russia sucks! [emoji51][emoji51][emoji51]
3.5 hours more to go...
Thank you Jesus [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 2207512
Wow nzuri imependeza kwa kweli
Najiona nani sijui[emoji23]Wow nzuri imependeza kwa kweli
Hongera, nazipenda sana hizi..I always remember mama nikiona kitu ya namna hii...!Najiona nani sijui[emoji23]
Wakati nilikuwa nabet tu vipimoView attachment 2207812
Chef wa kimataifaNajiona nani sijui[emoji23]
Wakati nilikuwa nabet tu vipimoView attachment 2207812
Hopefully maza house atakuwa anafanya mambo[emoji847]Hongera, nazipenda sana hizi..I always remember mama nikiona kitu ya namna hii...!
Wa kimataifa wapi,[emoji38]Chef wa kimataifa
Mimi pia huwa sipimi .. mwendo wa kukadiria tu
Kupima wanasemaga ni muhimu unaweza kuta umezidisha baking powder .
Naendaga shimoni kule kariakoo wana vifaa vingi vya keki ..Najiona nani sijui[emoji23]
Wakati nilikuwa nabet tu vipimoView attachment 2207812
Kadi yako ni VVIP madamNije bila kualikwa?
Ndo huko unaelekea hukoWa kimataifa wapi,[emoji38]
Hata kuwa wa kijiji wijafuzu
Yaani naweka weka tu.
InshaaAllah
Niliviona.Naendaga shimoni kule kariakoo wana vifaa vingi vya keki ..
Leo Eatv wametuwekea Devil kingdom naona
😂😂😂Kadi yako ni VVIP madam
Na ulinzi umeshaandaliwa
Jipange tuu
Ooh vyemaNiliviona.
Ni mwendo wa kunuenzi Kanumba tu .
Mimi naisubiri ya Johari[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie mpolee nikiwa sehemu ya ugenini, au na watu nisio wazoea.Hahaha unayaweza dear
Ukiwa nyumbani unakuwa mpole au ?
Sema muda mwingine watu huwa wanakera mno
Inakubidi tu uongee yaishe .