cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,106
- 181,180
Hahahah
Yule amezidi aisee sasa hapo umeenda kuweka dawa hapo kichwa kinauma yeye yupo tu na vidole vyake ...





sasa si anawafanyia maboresho ya package kubwa.Hahahah
Yule amezidi aisee sasa hapo umeenda kuweka dawa hapo kichwa kinauma yeye yupo tu na vidole vyake ...





sasa si anawafanyia maboresho ya package kubwa.
Alikukomesha!





tangu siku hiyo namuogopa mno, nkaja kusikia ni mkurya, wee ndo nilikoma kabisa.Anha kumbe nimekupata hapomie mpolee nikiwa sehemu ya ugenini, au na watu nisio wazoea.
Home nakua medium.
Ila jamaa alikuwa anaupiga mwingiOoh vyema
Wanamuenzi kweli aisee

Keshokutwa bhana,




WiiiMiss u all here![]()

Hatutaki aiseesasa si anawafanyia maboresho ya package kubwa.

Ndyooo mlongo,



Keshokutwa mlongo, mwezi haujaonekana.
Njoo uchukue gauni la marindaAmaizing,![]()

Ndyooooh.




Hongera wizo
AmeeeenNdo huko unaelekea huko
"No matter where you're from, your dreams are valid.”—Lupita Nyong'o.

Ooh yeahIla jamaa alikuwa anaupiga mwingi![]()
Na mimi napambana kujifunza wii hata usinipe hongeraHongera wizo
Itabidi na mie nijifunze

AmenAmeeeen![]()
Looo makubwa haya