Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Naona wanarusha mizengwe.Ooh yeah
Alikuwa yupo vizuri kweli .. legendary kabisa
Hapa nasubiri nione movie ya ITV niliiona week iliyopita inaitwa mimba .
Tangu yule Mzee matata afariki sijawahi kuipenda tena mizengwe.
Kanumba aisee aliinua wengi
Hapa namuona Swebe..jamaa nilimsahau kabisa.




looo