Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikita sijui yuko wapi..nilimpenda yule dada jamanj
Nlibahatika kukutana nae live posta ktk ofisi 1 ya umma, alikua na jamaa fulan hivi walikuaga wote ktk movie zao, yaan nlivomuona nilipatwa na shauku ya kutaka kumsalimia ila nliogopa,

Walivyotoka nkamuuliza mtu wa pale akanithibitishia ni yeye na yule jamaa n mumewe. Yaan kaolewa na msanii mwenzake.
 
Back
Top Bottom