Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Ooh vyemaMie ndo mambo ya hivyo nilishashindwa, najua tu, vitumbua, chapati aina zote, maandazi bas.
Upo vizuri kwa hapo na hivyo ndo vitafunwa muhimu .. hizo nyingine mbwembwe kama katlesi n.k
Ooh vyemaMie ndo mambo ya hivyo nilishashindwa, najua tu, vitumbua, chapati aina zote, maandazi bas.
Taqabballahu minna waminkumEID MUBARAK [emoji287]View attachment 2207899View attachment 2207900
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Kesho usiache kunicheki.Jamani mtt wa Abiudi acha nilale
Kesho nayo siku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi tattoo na hennah kuna utofauti mkubwa sana au?
Nataman cake za harusi na shughuri. Yaan lazima nijue.Ooh vyema
Upo vizuri kwa hapo na hivyo ndo vitafunwa muhimu .. hizo nyingine mbwembwe kama katlesi n.k
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sawa.[emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilifunga na nduguzangubwa saudia [emoji23]
Tunakula IDD kesho
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
NikufundisheNataman cake za harusi na shughuri. Yaan lazima nijue.
Ndiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi tattoo na hennah kuna utofauti mkubwa sana au?
Ooh vyemaNataman cake za harusi na shughuri. Yaan lazima nijue.
DuhKesho usiache kunicheki.
Yes,inatakiwa kizitoOoh nice
Hakika utapendeza .. hakifai chepesi eeh .
Dah! Aisee, ok niPM no yako nikutumie hela ya vochaHee[emoji2]
Kweli[emoji23]
Kwahiyo kwani na wewe upo kwenye kundi letu akina dada?(nakutania)
Mwaka huu nilikuwa na kiherehere[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sawa.
Nifundishe mlongo kwa kweli. Serious
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] au bas tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan khaaahMwaka huu nilikuwa na kiherehere[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Nataman sana nijue, ili siku ya shughuri au harusi niwe napata order, kujiajiri shost, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ooh vyema
Ukiweka nia hakika utajua tu ..
Siku unakuwa kama dorka catering
[emoji23][emoji23][emoji23]sio kazi hataNataman sana nijue, ili siku ya shughuri au harusi niwe napata order, kujiajiri shost, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulale tena!