Mimi nataka nikamfanyie usafi tuuuMie tenaaaa huyu? Tena kwako wee? Hapana labda nikuunganishe, mie ni terminator wa kutupwa, nashusha vocal had mtoto mkaree Tinsy anaingia kambani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimuoshe nywele, miguu, nimpake rangi Tinsley apendeze afurahi anipe changu nisepe😁