Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,385
Subiri kwanza ni-sign deal la muamala. Hapa nawaza interviewMuone boss mkubwa chap
Usiniangushw mama mchungaji
Kaselfie ka kupata fursa tafadhali
Subiri kwanza ni-sign deal la muamala. Hapa nawaza interviewMuone boss mkubwa chap
Usiniangushw mama mchungaji
Kaselfie ka kupata fursa tafadhali
Kaptula[emoji1787][emoji848]Ugonge na kaptura sasa hapo[emoji14][emoji14][emoji14]
Emma ana balaa zitoEmma sijui kamfanya nini binti wa watu [emoji848][emoji848][emoji848]
View attachment 2207642
Hii chenga umenipiga mama mchungaji ni kali, jana nimeambulia za uso hapa nakutana na sifa tuuu, tafadhali selfika mkuuSubiri kwanza ni-sign deal la muamala. Hapa nawaza interview
Eeh tuone vizuri tegeKaptula[emoji1787][emoji848]
😁😁😂 Subiri tu deal litiki, ntaselfika hadi mseme basi mama Mchungaji.Hii chenga umenipiga mama mchungaji ni kali, jana nimeambulia za uso hapa nakutana na sifa tuuu, tafadhali selfika mkuu
Nije bila kualikwa?Mwaliko huo huna haja ya kusubiri mama mchungaji, wewe jiandae tuu
Inabidi nikuulizeNije bila kualikwa?
Sherehe bila bia siyo sherehe hiyo.Inabidi nikuulize
Wewe maana nakumudu
Ukialikwa huko na bia
Zinakuwepo
Nina mialiko sita hapa
Nitavaa ya mdogo ako..Eeh tuone vizuri tege
Nilishavaa mbona😂Ngoja tuone
Kama atavaa
Hayo ndiyo mambo sasa.Nitavaa ya mdogo ako..
Wala usijali 😂
Uone ile mikunjo yangu nyuma ya goti eeh?Selfika nayo
Tuone
Bila shakaUone ile mikunjo yangu nyuma ya goti eeh?
Akinena baba mtumishi inatoshaBila shaka
Ili niweze
Kunena kwa lugha
Idd ni jumanneAkinena baba mtumishi inatosha