Nuzulati
JF-Expert Member
- Nov 25, 2020
- 10,756
- 39,397
Karibu mpendwa tujumueike 😍Mrembo eid Mubarak
Karibu mpendwa tujumueike 😍Mrembo eid Mubarak
Ndio wako vizuri kwenye sector hiyo .Aseeeeeeh kumbe wako vizuri sana?
Hahahaha Coca [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka nusu nipaliwe khaaah.
Unacheka nini wewe dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka nusu nipaliwe khaaah.
Na kweli huwa tunajua kukonga nyoyo za wadadaNdio wako vizuri kwenye sector hiyo .
Tofauti na ke mara nyingi wana maneno mara hivi vile ,hapo amekuchamba tayari .
Mpo vizuri kwa kweliNa kweli huwa tunajua kukonga nyoyo za wadada
Ahsante mwayaMpo vizuri kwa kweli
Kongole kwenu
[emoji1545]Ahsante mwaya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si mnachambana tyuuh, au wee heka heka huwezi?Ndio wako vizuri kwenye sector hiyo .
Tofauti na ke mara nyingi wana maneno mara hivi vile ,hapo amekuchamba tayari .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahahaha Coca [emoji23][emoji23]
Mie tenaaaa huyu? Tena kwako wee? Hapana labda nikuunganishe, mie ni terminator wa kutupwa, nashusha vocal had mtoto mkaree Tinsy anaingia kambani. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unacheka nini wewe dogo
Unataka kunibania nisipate riziki wewe[emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee.Mpo vizuri kwa kweli
Kongole kwenu
Siwezi shosti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] si mnachambana tyuuh, au wee heka heka huwezi?
Eeeeeh na mie niitage hivi, mwaya, shost,Ahsante mwaya
Nampa sifa zake jamani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah wee.
Yaan nisipochambana na mtu au kumtibua mtu sijisikii poaa, yaan kila siku lazima mtu m1 niwe na jambo nae, chuo wanakoma mbna.Siwezi shosti [emoji23]
Sipendi kuongea kwa hasira maana najiharibia tu siku yangu hapo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh wanafaidi, nataman ndo ningekua hao wakaka mweeeeeh.Nampa sifa zake jamani [emoji23][emoji23]
Kuna mkaka mmoja yeye ukienda kuosha nywele unashangaa anaanza kukutekenya shingoni halafu anaosha muda mrefu .. watu wengi walilalamika kuhusu hili ..
Yaan nisipochambana na mtu au kumtibua mtu sijisikii poaa, yaan kila siku lazima mtu m1 niwe na jambo nae, chuo wanakoma mbna.
Yaan nikiamka lazima mtu m1 niamke nae, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimekumbka kuna siku mkaka wa chuo nkaamka naye, acha anifanye nikimbie peku chuon km mtoto khaaah.
Hahahah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh wanafaidi, nataman ndo ningekua hao wakaka mweeeeeh.