Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Yani nitapika iyo IDD Hadi wageni washindwe wenyew kula mnakaribishwa Sana mje na mahotpot[emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Wooooiiui[emoji7][emoji2960][emoji91][emoji91][emoji91]
Na vile ndugu zetu mnavyojua kupika halafu uzuri wa waislam siyo wachoyo kabisa

Aisee ngoja niandae tumbo[emoji23]
 
Emma sijui kamfanya nini binti wa watu [emoji848][emoji848][emoji848]
26436842.jpg
 
Back
Top Bottom