OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,309
Ndo hivyo mkuu.Mnh labda baadhi yenu
Ndo hivyo mkuu.Mnh labda baadhi yenu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana
MmmmhhhhhNimekuchagua wewe kwa moyo mkunjufu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkacomment kwa da mange awape vichambo vyenu
Mmmmhhhhh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Upepo wa kisulisuli umenileta!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jinga wewe
Yaani hawa watoto wamenishinda tabiaNielewe wapiiii mimi nimekukuta apa labda utakuwa umeokota okota
Hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenikumbusha mbali, ila Mange ni bangi eti wigi gumu hadi ukiinama chini lenyewe linabaki juu linakusubiri unyanyuke muondoke zenu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inabidi vyuma niviingize kwenye maombi
AiseeeeeHuu uzi utaupiku makapuku forumView attachment 1250124
Ako na upepo wa kisulisuli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi Mangi ako na nini eti jamani!
Hebu weka ila ya chama ulivaa leo dadaJamaniii tuwekeeni sura zenu basi tuwajue sio hayo mapichapicha mnayotuwekea
Unywele sio wa nchi hii kabisaa
Ya chama ipiiii jamani na ile uniform yetuHebu weka ila ya chama ulivaa leo dada
Ndio ndioUnywele sio wa nchi hii kabisaa
Saaanaaa
Huyu jamaa[emoji116] ni kaka yako? mbona mnafanana sana?Mzee wa kusaminisha vyura naona kimya kimya
Aiseeeee