Hujawahi ku tweet hata siku moja mkuuYeah mkuu
Hujawahi ku tweet hata siku moja mkuu
Nakuchagua wewe mkuu halafu na dabo ze priceUsinichague mie tu 'tasavali'
Mai waifu wangu'My wife wangu'
Ooh My G......Say yeeah
Nimekuchagua wewe kwa moyo mkunjufuWewe umeamuaje mkuu
Twitani ila sijakuta ume tweet hata mara mojaWapi??
Why mkuu. Tweet leo tu basiNop, Never.
Nami sina kinyongo ntakuodhesha bila hiyana.Nimekuchagua wewe kwa moyo mkunjufu
Hahaha ndaga fyijo.nahofia imeshaenda ikirudi pancha
We haya tusina kitu mimi jamani

Nakuchagua wewe mkuu halafu na dabo ze price
badala ya 900 tufanye 1800 au ile ya mabaharia 7800
Mai waifu wangu
Halafu nyuma ya hilo jengo hapo kuna simba wanakuja kunywa maji.. wamejenga sehem unawangali upo kwa juuu. So scaryuje ugongwe na nyoka huko kisa kujitia utaliiiii
shauri lako....
Ooh My G......