Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,749
- 109,842
Where on earth?
Where on earth?
Woiiii mahaba ya dhati jf [emoji1732][emoji1732][emoji1732]Wanajaribu kutuonesha mahaba ya dhati [emoji23][emoji23]
Mimi huyu Mangi [emoji134][emoji134]We unaniwekea vikwazo!!
Fanya vile basi,
Kazi yangu hapa ni kutumia dole gumba tu hapa, na-scroll tu kwenda juu..haha[emoji23]
Yaani nakutafutia mume unasema nakuuza[emoji134][emoji134][emoji134]Kwahiyo auntie unaniuza basi kama unaniuza huyo mwanaume awe na mahela sio mafurushi mimi siyataki
Hahhaha ebu jaribuKazi yangu hapa ni kutumia dole gumba tu hapa, na-scroll tu kwenda juu..haha[emoji23]
Basi huyo mume awe na mahela jamani hata kama natafutiwaYaani nakutafutia mume unasema nakuuza[emoji134][emoji134][emoji134]
Nikikutetea utanilipa?
@Heaven Sent nilijua tu huyu mtu ni mdogo wako. Hamjawahi kuniangusha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ngoja nikusaidie tu dada yangu, huko ni kwetu Nyasa Land Kyela (Mbeya), unyakyusani huko na huo ufukwe upo mbele ya hotel ya Land Mark Lake Nyasa.
Pampula, maana hadi ahadi alikwishapewa.Ukimtoa Mshana Jr mnafikiri nani mwingine kaumizwa sana na hili tukio?[emoji23]
View attachment 1249946
Shaka ondoa, hata mimi nataka mahari ilonona.Basi huyo mume awe na mahela jamani hata kama natafutiwa
We lete mahari tu.Kwani ndo nshakabidhiwa hivyo...!!
Nikigeuka nitakimbiwa
Hahaha ila jf inachekesha sana sasa ili iweje jamani na mimi ngoja nitafute babe tucciane
Ndio mana auntie nimekufanana na wewe kwa kila kituShaka ondoa, hata mimi nataka mahari ilonona.
Huu uzi una vitu vizuri sana!!Hahhaha ebu jaribu
[emoji848][emoji848]A place where no law applies Chief!
Kweli bwana hata wewe utanikimbiaHahah...
Ebu nicc jamani na mimi [emoji847]Heheh...doh