Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,400
- 465,165
Tuko na sura za baba zetuHuu uzi una vitu vizuri sana!!
Tuko na sura za baba zetuHuu uzi una vitu vizuri sana!!
Auntie ishia hapo hapo.Ndio mana auntie nimekufanana na wewe kwa kila kitu
Nitakutafutia kibabu "mkwe", halafu nikulipie vekesheniNikikutetea utanilipa?
hewalaaaa....ngoja niandije barua ya posa nipangiwe mahari mimiWe lete mahari tu.
Hebu geukia huku tukuone vizuri
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Nitakutafutia kibabu "mkwe", halafu nikulipie vekesheni
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Auntie ishia hapo hapo.
Nakufata uko ulipo nikugeukie vizuriHebu geukia huku tukuone vizuri
Kiarabu sikijuwi mkuu nazuga tu,Mannoon ndo nini.
Nikigeuka nitakimbiwa
Hahahaah uko juu bwana
Nimemjua hivi kumbe ni mtu mmoja yule
Duuuuhh mambo ya jakata hayo enzi hizo tunatia chenja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka sana
Hahhaha mmejuaje sasaEendiwoo