Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,750
- 109,845
Hahah...uoga wako ndio udhaifu wako dear
Saaanaaa
Utanipeleka mchakamchaka sana!
Saaanaaa
Utanipeleka mchakamchaka sana!
Huyo anayeishi kwa Trump simuwezi kabisaa jamaniHahah...hutaki kuchaguliwa wewe
HahahahAko na upepo wa kisulisuli
HahahhahaKuna mmoja alitaka aniletee hizo mambo eti tuwe wapenzi wa JF tu tuwe tunacciana nikamuambia weeee wasije wakasema ni mtu mmoja anajicc mwenyewe
Na vyenye sisi tuliojiunga mwaka huu watu wanavyotudoubt kuwa ni old members in new ids basi mtu unaogopa hata kufungua id nyingine maana watu wana machale duuh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ya chama ipiiii jamani na ile uniform yetu
Sawa dadaNdio ndio
Eti nikigeuka sitakimbiwa mimiAbeeee
Picha nzuri mkuuVipi miss bantu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahah...uoga wako ndio udhaifu wako dear
Hapana dadaEti nikigeuka sitakimbiwa mimi
Kumbe we mnyaki...
Hahahaha sisi ndo sisi@Heaven Sent nilijua tu huyu mtu ni mdogo wako. Hamjawahi kuniangusha.
Na mie kama nilihisi hivyoHome town, Moshi