upcoming tycoon
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 353
- 471
"Mabaharia vipi mbona mnaremba??"
"Haturembi sisi tunangoja ageuke!!"
Jamani makofi na vigelegele
Naimba tu mimi jamani
Duuuuhh mambo ya jakata hayo enzi hizo tunatia chenja
"Mabaharia vipi mbona mnaremba??"
"Haturembi sisi tunangoja ageuke!!"
Jamani makofi na vigelegele
Naimba tu mimi jamani
Nimeiona dada,, sie tunaovaa mawigi kama katani tunacomment wapi eti jamani??



Mkacomment kwa da mange awape vichambo vyenuAsante queen! 💋
Hahhaha Mangi naona upepo wa kisulisuli umekuleta na kwangu piaAsante queen!![]()
😂😂😂😂😂😂😂 inabidi vyuma niviingize kwenye maombiOohh basi sawa dada,, vyuma vikilegea nitakununulia zote ila vikiendelea kukaza nitakuanzishia uzi tu..![]()
😂😂😂Nimemjua hivi kumbe ni mtu mmoja yule
NdiwoooIli amtishie mtoto anywe uji
Hahaha ila jf inachekesha sana sasa ili iweje jamani na mimi ngoja nitafute babe tucciane
Mwambie mtoto akunywe uji uko nakuja kumgeukiaNdiwooo
Muhudumu: kaka karibu, nikusaidie nini?
Hazard : naomba safari
Muhudumu : kubwa / ndogo
Hazard : kubwa ya baridi
Muhudumu : niifungue?
Hazard : hapana nipe maji makubwa nimezeee
Cc. Hazard CFC![]()
Wanajaribu kutuonesha mahaba ya dhati 😂😂Hahaha ila jf inachekesha sana sasa ili iweje jamani na mimi ngoja nitafute babe tucciane
😁😁😁sawa dadaMwambie mtoto akunywe uji uko nakuja kumgeukia
ngoja nikusaidie tu dada yangu, huko ni kwetu Nyasa Land Kyela (Mbeya), unyakyusani huko na huo ufukwe upo mbele ya hotel ya Land Mark Lake Nyasa.
Kwani ndo nshakabidhiwa hivyo...!!Unamkonyeza mkweo![]()
Labda tumroge au tumpe hela
Hahhaha Mangi naona upepo wa kisulisuli umekuleta na kwangu pia