Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Usijali kabisaaBasi mi naona zilinipita. Siku nyingine ukiweka hata kama ni ya kivuli chako tu nitag
Usijali kabisaaBasi mi naona zilinipita. Siku nyingine ukiweka hata kama ni ya kivuli chako tu nitag
Labda ila sidhani kama wanafanana picha ya huyu mdada ipo wapi?







Na wewe yako ulishaweka? Au uliweka halafu hapo hapo ukaifuta? Sijui kwa nini huwa mnaweka halafu mnafuta
Ndio ukweli...
Lakini hata hivyo yategemea na generation, maana watoto wa internet age wote wanafanana si wadada si vijana
Hahah...
Sipati picha vile trainer wako wa mapozi ati ni mchaliii...








Hivi wewe si uligoma hadi kuangalia mpira?!







Ulikuwa mpole sanaHapo sijaanza kufikiria safar lagerView attachment 1249394
Kwa hiyo mkuu lile ten ndio basi tena ukitoka huko ughaibuni![]()










mwaka gani mkuu ?
Kuna walokuta pm kumefungwa...Sio bure utakuwa ulituma...mbona umekuwa mpole ghafla![]()
Allow me to pass via your PM
Umefurahi eeehhHahah...![]()
#UNIKOME#Nyu hashtag in town
#MNIKOME
Hahahahahanani sasa huyo jamaa au
Mimi huwa namuita mkuu mtu ambae ndio naongea nae kwa mara ya kwanza au yule ambae sitaki mazoeaOohh nimekumbuka huwa hupendi kuitwa mkuu, sawa dada ila usipotee hivyo jamani.
Nakuoma mkulima wa korosho