Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

wanaume si watu wa picha picha...if you know what i mean!
Yaani acha tu ndugu yangu mimi kubembeleza kutumiwa picha za Sakayo na Atoto imekuwa nongwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tatizo wanaume wengi wa humu wakiombwa picha na wanawake mabichwa yanawajaa halafu hawatumi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mh DC kavunja katiba, Ila kwanini wanapenda kuvaa Kombat tu? Mbona sare za magereza, bank, mgambo, mgodini n.k hatuoni wakivaa ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe ukaamua ubomoe kabisa hiyo sheria eeeh
 
Huyu jamaa anazingua sana. Achana naye tu mkuu. Hii JF ni kila mtu na lwake na always akili za kuambiwa changanya na zako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1249336
Huyu baharia hana tofauti na wale wanaume wanaotumia picha za watu kupiga pesa. Wanasema wanajiuza ukituma nauli imekula
 
anyway, ni mama watoto wangu amepost hizo picha muwe na amani. Na imani hakuna kilichoharibika ni utundu wake tu umemfikisha huku. Uzi umetendewa haki, na imani kuna wadada wazuri tu humu ndani.
 
anyway, ni mama watoto wangu amepost hizo picha muwe na amani. Na imani hakuna kilichoharibika ni utundu wake tu umemfikisha huku. Uzi umetendewa haki, na imani kuna wadada wazuri tu humu ndani.
Mama watoto wako yupo huku? Ndio unaanika picha za mke wako hivi kweli?
Sawa baharia.
 
Mama watoto wako yupo huku? Ndio unaanika picha za mke wako hivi kweli?
Sawa baharia.
Hakuna ubaya, maana hata kama ukiona picha hizo huwezi mfahamu au kuoanana nae maisha. Halafu ni yeye ndio ameweka kwanza nipo na ugomvi nae kwanini ametumia akaunti yangu ya JF
 
Dah... Ok ila ngumu kumeza ujue.. Sio kwa mapicha yale... Mafisi na mamende ya JF ulishayadatisha[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
anyway, ni mama watoto wangu amepost hizo picha muwe na amani. Na imani hakuna kilichoharibika ni utundu wake tu umemfikisha huku. Uzi umetendewa haki, na imani kuna wadada wazuri tu humu ndani.
 
Back
Top Bottom