Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Na jana ulimtumia elfu 20. Ndo ushaliwa hivyo na shemale
More confusion

 
Ohoooo huu mpango wa kutunanga wembamba umekujaje
Niko home Koromije mimi siku nyingi mbona? Hakuna mwanamke hapa duniani anayeweza kushindana na mwanamke wa Kiafrika mwenye umbo halisi la Kibantu. Hakuna. Sasa nyinyi mnajiharibu kwa kujikondesha mpaka mnabakia mifupa mitupu bana. Mkijikondesha basi angalau mbakizepo vinyama nyama angalau vya kujishikiza shikiza. Hampendezi kabisa !!!
 
Mkuu chimbo gani unanunuaga Mal.ya na mimi nataka niibuke.
IMG_20191030_195502_506.JPG
 
Dah.. Msubhate sio poa kabisa... Kidogo niingie kingi nijipinde na mada uliyoomba ya urembo wa lips na kucha mwanangu
Mkuu pm ulienda nini.
 
Dah.. Msubhate sio poa kabisa... Kidogo niingie kingi nijipinde na mada uliyoomba ya urembo wa lips na kucha mwanangu

Nilikuwa nawaza lips zangu venye ni ngumuu
 
Back
Top Bottom