Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Aisee
Jua la hukl kavu linapausha.
Ni sh ngapi ?Weka my dear
Hii niliweka 2018 natamani niweke tena
Maana stress unazisahau kabisa .. huwa wanasema ni style ya wamama ila hata mabinti inatufaa pia
KabisaOoh vyema
Ukisuka kasura kanazidi kuvutia
Au ni mimi tu nayezurula mara sabasaba..mara square[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wee kumbe sijanote hilo
Hii lazima nikulipe leo nakwenda kuichapa na nyagiWaswanu [emoji2][emoji2][emoji2]View attachment 2180543
Joto hili balaa
Nywele zifumuke tu [emoji23]
Ila kuna style ukisuka ikifika usiku unaona cha moto .. mda fulani hivi niliona kusuka crotchet kwa rasta nikapenda weh nikaamua nisuke aisee nilijuta kuchana siwezi mpaka watu wanisaidie kuchana after a week hivi nikazifumua .
😀😀😀 vya uswazi huwa vina vibe lake matataa sema nyie wazito haya tutawaona alafajiri hapo bambalaga..vya uswazi hapana tutabanana Royal na Bambalaga[emoji3]
hahahaha😀😀😀😀 raha sana, hata kama ulikuwa na mapicha picha kichwani yanaisha
Mbona hazijachoka jamaniNaziona zimechoka afu zimenikata nywele nyuma na mbeleView attachment 2180746
🤣🤣🤣🤣🤣
Mbona hazijachoka jamani
Naona tu nywele pembeni zimekaa vzr[emoji3059]
Sina uhakika wa bei .Ni sh ngapi ?
Mimi ni mmama[emoji847]
[emoji1][emoji1]Anhaaa, hivi wewe si ndiyo Karme wewe ??
Hebu ngoja nimalize kukimbia ntakuwekea.
Kiherehere cha kutaka kusuka vya mitandaoni nikakiacha pale .Sijawahi kuzisuka zile..
Sasa hujaelewa nini wakati mwenyewe nimeandika kiingereza cha "ze ze" tu [emoji2][emoji2]Lugha ya Taifa
Ungetumia tu
Mbona mnaninyanyasa[emoji1787][emoji848]
kwanza nina mpango wa kukata nywele!! kakichwa kenyewe sasa uwiii!!Mbona hazijachoka jamani
Naona tu nywele pembeni zimekaa vzr[emoji3059]
Ukikata utachekesha boss ledikwanza nina mpango wa kukata nywele!! kakichwa kenyewe sasa uwiii!!
Nimechoka nywele Anne! NakataUkikata utachekesha boss ledi
Bora uwe unazibana tu
Aiseee[emoji7][emoji91][emoji91][emoji108]Sina uhakika wa bei .
Ila andaa kuanzia elfu ishirini inategemea na sehemu au mwnye kujua anweza kukutajia
Ona hii curl ilivyoenda shule View attachment 2180749