Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Waswanu
C360_20220408-155745-14.jpg
 
Kwa sasa yamepona yote ila la pili sijui kwa nini lilisumbua vile lilikua linakauka kwa nje ila ndani kidonda kibichi. Niliteseka ilibaki kidogo niliache tu lizibe lkn nilikomaa nalo likaja likapona kabisa.
Aiseeh pole sana
Ndo itakuwa wenye mikono mibaya hao
Urembo raha ila unahangaika .. ulikuwa unaweka vijiti ,wakati huo unauguza kidonda ?
 
Aiseeh pole sana
Ndo itakuwa wenye mikono mibaya hao
Urembo raha ila unahangaika .. ulikuwa unaweka vijiti ,wakati huo unauguza kidonda ?
Kuna ndugu yangu,alitoboa..akavimba
Kule nyuma ya sikio kunatengeneza dunguli kubwa linakua kadiri muda unavyoenda.
Baada ya muda anafanya oparesheni hayo madude yanakatwa...akikaa Kaa yanaota tena.
Hadi masikio yake yamechakaa maana zaidi ya miaka 15 sasa ni operation yanarudi Tena.
 
Aiseeh pole sana
Ndo itakuwa wenye mikono mibaya hao
Urembo raha ila unahangaika .. ulikuwa unaweka vijiti ,wakati huo unauguza kidonda ?
Ahsante, niliweka vile vihereni vyao wanavyotumia kutobolea masikio hadi vikapata kutu nikatoa nikavaa vihereni vingine
 
Kuna ndugu yangu,alitoboa..akavimba
Kule nyuma ya sikio kunatengeneza dunguli kubwa linakua kadiri muda unavyoenda.
Baada ya muda anafanya oparesheni hayo madude yanakatwa...akikaa Kaa yanaota tena.
Hadi masikio yake yamechakaa maana zaidi ya miaka 15 sasa ni operation yanarudi Tena.
pole yake,hiv huwa yanasababishwa na nn yale madude?
 
Kuna ndugu yangu,alitoboa..akavimba
Kule nyuma ya sikio kunatengeneza dunguli kubwa linakua kadiri muda unavyoenda.
Baada ya muda anafanya oparesheni hayo madude yanakatwa...akikaa Kaa yanaota tena.
Hadi masikio yake yamechakaa maana zaidi ya miaka 15 sasa ni operation yanarudi Tena.

Dah jamani inasikitisha
Alitoboa wapi yeye ? Pole kwake sana
15 years ni miaka mingi aisee .. Mungu ni mwema hakika atamponya .
 
Mi la kwanza kanitoboa mdogo angu na sindano tu nyumbani,ila la pili nilitobolewa na muuza urembo ndio!
Ni mkaka alikuwa anapita tu,wala sikupata shida!
acha uoga,nilijua tu we muoga
Tupe hints kwenye nywele aisee maana dada una uhair hatari .
Relaxer gani unatumia ?
Huwa unafanya deep conditioning ?
 
Back
Top Bottom