Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Utakumbuka maneno yanguNimechoka nywele Anne! Nakata

Utakumbuka maneno yanguNimechoka nywele Anne! Nakata

Nanitachekesha kweli kweli mana nina kakichwa ka ajabu 😁😁Ukikata utachekesha boss ledi
Bora uwe unazibana tu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Utakumbuka maneno yangu![]()
Ila itakuwa siyo sanaHapo mbele zimekatika nivile nimelaza na jelly!
TukaoneNanitachekesha kweli kweli mana nina kakichwa ka ajabu![]()

Simple style lakini unakuwa elegant and classy too .Aiseee![]()
HakikaSimple style lakini unakuwa elegant and classy too .
Naziona zimechoka afu zimenikata nywele nyuma na mbeleView attachment 2180746

Bei gani salun?
ila zina bei japo inategemea na anasuka wapi saluni au mitaani kwa watu..saluni wana bei kubwa!
Msupuufurahi dei
Nzuriii niliwah weka mara 1 nywele zilipendeza, i wish ingefaa kwa nywele za dawa ningeweka mara kwa maraSina uhakika wa bei .
Ila andaa kuanzia elfu ishirini inategemea na sehemu au mwnye kujua anweza kukutajia
Ona hii curl ilivyoenda shule View attachment 2180749
Ooh yeah zipo .. wamama wengi wanaziwekaHakika
Kumbe style zipo mwee
Kujitesa tu na mavichanio na mavitambaa.
Beautifulfurahi dei
Nitatengeneza aiseeOoh yeah zipo .. wamama wengi wanaziweka
Vichanio vinatesa na hapo kwenye vilemba hadi uwe na kichwa cha kilemba otherwise unabaki na nywele zako .
Kweli zinapendeza balaaaNzuriii niliwah weka mara 1 nywele zilipendeza, i wish ingefaa kwa nywele za dawa ningeweka mara kwa mara