Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,498
- 235,199
Angalau mwezi may nitawaza kuanza kusukaHahaha Anne
Basi pumzika kwanza hadi joto lipungue kwanza .
Kwenye June hapo uanze kusuka .
Angalau mwezi may nitawaza kuanza kusukaHahaha Anne
Basi pumzika kwanza hadi joto lipungue kwanza .
Kwenye June hapo uanze kusuka .
Weee[emoji3064]aarh zimenichosha mie!!
OhNdio, nywele zinakua na mawimbi,utapendeza tu..
Aww[emoji7][emoji7][emoji7]
Hii nzuri
Joto hili balaaSitaki kusikia habari ya kofia wala kilemba wakati wa kulala na hili joto[emoji2][emoji2][emoji2]
Weuwee[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Hizo hapo zinaonekana vizuri!View attachment 2180732
hahahaaa.....Weee[emoji3064]
Nihamishiezo mimi
ahahaha! bwana weee kuna watu ukikaa nao tu ni raha na ni vibe plus 😀😀😀😀hahahaha.unataka ukamfuturu mtu
Yes ni mafuta ya nyweleMnyonyo nayo ni mafuta ya nywele?
Hapana hapa nawaza sijui nisuke nini za kukaa mie kiuno cha kusuka kila siku sinaaaaa!! Ebu nishauri nisuke nini nzuri za kukaa!Weuwee[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Boss wetu kama boss
Hadi nywele za bei mbaya[emoji119]
Nzuuuuri
Usifumue[emoji3064]
😍😍kipenzi usijali endelea kutumia lemon ina kawaida ya kutoa mafuta ama utoke vichunusi vingi baadae uso unakuwa softiiiDark spots
Na jipu uchungu[emoji3064]
Juzi mmeniambia nitumie mafuta ya lemon..usiku wake tu kijipu kikaniota[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo natafuta mafuta ya lemon
Weka my dearAww[emoji7][emoji7][emoji7]
Hii nzuri
Hizi ndio 300K?Hizo hapo zinaonekana vizuri!View attachment 2180732
Ooh vyemaAngalau mwezi may nitawaza kuanza kusuka
Nani amesema???
Yani nyie sisi acha tupambne na vipilipili vyetu
ewaa.huboreki .watundu watundu,wajanja wajanja,hadi rahaahahaha! bwana weee kuna watu ukikaa nao tu ni raha na ni vibe plus 😀😀😀😀
EwaaaNa ndio kama wave pia,unapaka tu mafuta yake your good to go...
Tukae nazo kwanza hizo hizoHapana hapa nawaza sijui nisuke nini za kukaa mie kiuno cha kusuka kila siku sinaaaaa!! Ebu nishauri nisuke nini nzuri za kukaa!
Nikifumua nakaa kama 2 weeks kisha nisuke sijui nisuke nini
😀😀😀😀 raha sana, hata kama ulikuwa na mapicha picha kichwani yanaishaewaa.huboreki .watundu watundu,wajanja wajanja,hadi raha