Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Hii wave ndio dawa ya nywele?Weka hata wave zinakua laini,ila zina mafuta yake..na utapendeza..
Sielewi hata



Hii wave ndio dawa ya nywele?Weka hata wave zinakua laini,ila zina mafuta yake..na utapendeza..



Asante...nilikua nakata style ya panki naziset zilikua taamu ila sasa nywele zangu kiasil ni nyepes zilikatika zotePole lakin zitakua usijali
😀😀😀😀 hao ndio wenyewe sasa, video vixen wajanja wanajua pigo.. sema ndio huwezi toka nae public ni kama kizibitinilikuaga na video queen mmoja.ana mapigo hayo.dah hatari sana
Usifumue boss wetuzinakaa hata mwaka ila mie zimenichosha...yea ni za bei!!
eeh nichekie ka flight chap nitokee 😀😀
Ooh sawaMie asa hiv nna upara yan nilipaka dawa zilikatika zote zilinikwaza nikazitoa naanza upya.
Ooh sawaNi zile tunaita pasi ya nywele(hair curler au flat iron)
Aah zikue kue weeeutanitana wewe



usiniache tuu airport 😀😀😀
Hahaha AnneNajisikia joto hadi usoni
Nimejaribu kusuka ila joto limenizidi speed.
Ngoja kichwa kipumue tu.
Aiseee








hahahaha.unataka ukamfuturu mtuhahahaha! na mie acha nisogee meneo yangu
aarh zimenichosha mie!!Usifumue boss wetu
Fanya kuzirepear tu
Olive mazuri kweliKma yanakukera harufu tumia olive pia olive ni mepesi
unywele unywele!!
Hii wave ndio dawa ya nywele?
Sielewi hata![]()
Mnyonyo nayo ni mafuta ya nywele?Olive mazuri kweli
Nina mnyonyo hapa nilinuna duka la asili kiukweli mzuri sana .
Dark spotsUso una shida gani mrembo









Uhair kama wote

AwwHahhaha
Ina harufu kali fulani hivi
Curl ipo Kama hivi , asubuhi unamwagia maji nywele na kupaka gel View attachment 2180728


