Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,499
- 235,201
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji1545]
Utapendeza hakika
Ngoja niulize ulize saluni wanapotengeneza hivyo
[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji1545]
Utapendeza hakika
Au ni mimi tu nayezurula mara sabasaba..mara square[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na yale matope
Gorgeous [emoji7][emoji7]
[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mrembo wetu msaaafi
Haya dear[emoji3059][emoji3059][emoji3059][emoji3059]
Ngoja niulize ulize saluni wanapotengeneza hivyo
Msupuu
Beautiful
Saint Anne huko hizi wanazisuka bei gani???
Kwani uongo nkamu??[emoji23]ila wewe hiyo msaafi[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Najua sasa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Saint Anne huko hizi wanazisuka bei gani???
UbarikiweHaya dear
wee chizi kweli!Tukaone[emoji7]
kumbe bei hazitofautiani sana mie pia nilisuka 60 Jack PalladinoNajua sasa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila siyo chini ya 60
Yaani 60 kuendelea
Ila Dom kuzuri sana aiseeeMimi sipendi kutembea nkamu ni heri nilale hata week nzima[emoji3]
labda Usiku sawa nalichukia jua sana
[emoji23][emoji23][emoji23]wee chizi kweli!
🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗[emoji23][emoji23][emoji23]
Si tunaona kalivyo ka ajabu
Saluni kubwa kubwa watampiga hadi lakikumbe bei hazitofautiani sana mie pia nilisuka 60 Jack Palladino
Unatupia eeh,?[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
Amen nawe pia mpendwaUbarikiwe