Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Kuna mwingine mtoto ana mwezi tu anampeleka, mi wangu nilimpeleka akiwa ana miezi mitatu na yupo vizuri kabisa hata hakulia, tho kwa watoto wadogo healing kwao ni very fast ila nikuwa makini ukitoboa unalipa uwangalizi ndani ya siku tano na kuweka spiriti kuua bacteria wanaoweza kukuletea infection
Aisee kumbe wengine wanatoboa watoto mapema hivyo .Ila bora mapema anakuwa hata hajui yeye .
Nikija kutoboa nitafanya hivyo ,asante kwa ushauri .


ndo tunakosea sana




