Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Hividak kadhaa na mie ndani.. leo ijumaa pananoga sana [emoji851][emoji851][emoji851]
Ulikuja na kusepa[emoji848]
Hividak kadhaa na mie ndani.. leo ijumaa pananoga sana [emoji851][emoji851][emoji851]
Nilikuja kulala tu, nili miss maeneo yako 😀😀Hivi
Ulikuja na kusepa[emoji848]
Usijali Mjukuu wanguAsante sana babu
Usisahau kunipitishia hapa kimara.
Hahaha hatujazoea hizi mamboNishawahi nunua sehemu nilikuta zinauzwa.
Sijui hata nilikotupia[emoji23]
SlishazoeaAisee nimemuonea huruma
Mateso makubwa hayo .
Bora hata wewe ulikumbuka kuvaa[emoji23]Hahaha hatujazoea hizi mambo
Mimi mwenyewe zile za kwenye picha nilipoteza siku hiyo nilizovaa [emoji23].
HahahhaBora hata wewe ulikumbuka kuvaa[emoji23]
😀😀😀 usinipe kesi mzee.. sipo na mjukuu wako yoyoteNa sijamuona kitambo Mjukuu wangu Depal , usije kuwa umemficha mahali
Lugha ya TaifaCc MALCOM LUMUMBA what are your best EDMs [emoji4][emoji4]
I might wanna add something new to my playlist
These are some of mineView attachment 2180547
Anhaaa, hivi wewe si ndiyo Karme wewe ??Cc MALCOM LUMUMBA what are your best EDMs [emoji4][emoji4]
I might wanna add something new to my playlist
These are some of mineView attachment 2180547
Wanapendeza sana ndio ugonjwa wanguNawapenda walio tobea kitovu, masikio, pua na ulimi.. wanao toboa paka nawaonea huruma sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Omba tuonane
Nitakupa soks za kuendana nawe
Sio hizo kama umetokea veyula na kintinku
😀😀😀 kumbe gonjwa yetu moja asee.. mie awe na tatoo... na awe kachoma nywele flani.. naonga hadi moyoWanapendeza sana ndio ugonjwa wangu
Halitofautiani sana[emoji3064]naona hakuna jua kama Dar
[emoji1787]Michongo yani.. upo na ka Depal
babuu anakula matunda yake.. 😊😊[emoji1787]
[emoji1787]Nilikuja kulala tu, nili miss maeneo yako [emoji3][emoji3]
Anajishitukia[emoji3][emoji3][emoji3] usinipe kesi mzee.. sipo na mjukuu wako yoyote