Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,974
- 35,342
Spirit nilikua napaka lakini sijawah jua nini kilitokeaUkitoboa kwa sonara muwe mnapaka spirit kuua vijidudu kwa siku tano na litapona haraka
Spirit nilikua napaka lakini sijawah jua nini kilitokeaUkitoboa kwa sonara muwe mnapaka spirit kuua vijidudu kwa siku tano na litapona haraka
Ila mbadala wa olive kidogo naona iko vzuri ni mega growth lkn uwe unatumia product zote
nywele zinakua Bomba Sana pia uwe Makin kwenye kuretouch ni Mara moja kwa miez minne hapo nywele utaielewa
Aisee zikikatika inabidi tu uzijali .. nimechoka kuchekwa ngoja nianze kuzipenda .
Wigi linachosha kweli aisee mie huwa navua nikiingia tu kwenye daladala.

hahahahahahahaha hatari sana.. na huwa wanajua huwezi kuta yupo ivyo alafu awe mchovu
Pole!
Yes nilijaribu zote hizo mpk ,tcb,autra sheen,radiant,movit hakuna kitu nywele zikawa hazishiki dawa na zinakatika,mwisho nikaweka 'Tee Tree ,yaani ilishika vzr ila ilichonifanya
Nywele zilikuwa zinatoka km MTU anazikata vile!
Ndo nikaona isiwe shida kidogo nizikate,nikazisuka ili nisizione ,nilipofumua ndo nikaanza Revlon japo nayo haishiki sn ila bado naangali! Mpk nirudie mara 4 hivi nitapata jibu.
Ni kweli mi na hivyo vitu steaming sijui nn hapana kwanza siamini sn!
Shida ya dawa ndo hiyo,yaani wanabadirisha product mpk wanaboa basi tu.
Hongera mno mpendwaYaani acha tu,manne nilitoboa kwa mtu mmoja tena siku moja na sikupata shida yeyote![]()
Umenena rafiki ...cheap is always expensiveMaana kuna watoto vichanga kabisa tunawatoboa na hawapati matatizo cha msingi mkitoboa masikio mpake sprit, na pia msivae kila heleni bora ununue heleni nzuri na not so cheap hizo cheap naonaga zinawaletea shida sana wengi mpaka masikio kuvimba
Sikuwahi kukata hata ncha,imani tu!Huwa unakata ncha ooh
Nimeambiwa mara nyingi hili napuuzia labda ndo maaan vimegomea hapo hapo .
Unataka vya uswazi hivi vipo kibao.. ila nyie watu wa maana kabaneni hapo bambalaga, waswano au loyal.. alfajiri ndio viwanja vinabamba.. sasa

Aisee zikikatika inabidi tu uzijali .. nimechoka kuchekwa ngoja nianze kuzipenda .
Wigi linachosha kweli aisee mie huwa navua nikiingia tu kwenye daladala.

wig ni noma na joto hili,tafuta tu product za aina ya nywele zako zitakaa sawa..Halitofautiani sana![]()
Mi iligona kabisaIla mbadala wa olive kidogo naona iko vzuri ni mega growth lkn uwe unatumia product zote
nywele zinakua Bomba Sana pia uwe Makin kwenye kuretouch ni Mara moja kwa miez minne hapo nywele utaielewa
Oh pole sana,Spirit nilikua napaka lakini sijawah jua nini kilitokea
MPL ,google hapo ,ya SAIla nywele kama zetu beautiful beginning ni nzuri sana,mimi ncha nakata mara chache sana...MPL sijawahi kuyaona ni ya wapi?
Thnx, nilishapona.Oh pole sana,
Pole!
Yes nilijaribu zote hizo mpk ,tcb,autra sheen,radiant,movit hakuna kitu nywele zikawa hazishiki dawa na zinakatika,mwisho nikaweka 'Tee Tree ,yaani ilishika vzr ila ilichonifanya
Nywele zilikuwa zinatoka km MTU anazikata vile!
Ndo nikaona isiwe shida kidogo nizikate,nikazisuka ili nisizione ,nilipofumua ndo nikaanza Revlon japo nayo haishiki sn ila bado naangali! Mpk nirudie mara 4 hivi nitapata jibu.
Ni kweli mi na hivyo vitu steaming sijui nn hapana kwanza siamini sn!
Shida ya dawa ndo hiyo,yaani wanabadirisha product mpk wanaboa basi tu.
Unaretouch baada ya miezi minne
Vipi nywele ikiota mapema kabla ya muda ?
Ooh AsanteSoulmate ni mgando ni herbal yana kama ka mint hivi ukipaka, ni ya nigeria kama sikosei..
Unaosha dear una blow-dry unasuka pia jitahid kusuka nywele ambazo haziathiri ukuaji wa nyweleUnaretouch baada ya miezi minne
Vipi nywele ikiota mapema kabla ya muda ?