Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mkuu ugomvi gani. Acha kutuzuga.
Hakuna ubaya, maana hata kama ukiona picha hizo huwezi mfahamu au kuoanana nae maisha. Halafu ni yeye ndio ameweka kwanza nipo na ugomvi nae kwanini ametumia akaunti yangu ya JF
 
Hahah...

Sipati picha vile trainer wako wa mapozi ati ni mchaliii...
Apia mkuu

Kumbe ndo maana hataki kunifundisha mapozi ya kusimama eeh!! Mependa venye ako na mapozi poa ya kusimama!
 
Back
Top Bottom