Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Huyu jamaa anazingua sana. Achana naye tu mkuu. Hii JF ni kila mtu na lwake na always akili za kuambiwa changanya na zako
Screenshot_20191030-140539~2.jpeg
 
Daah Shimba bhana kwahiyo wewe wanawake wa huko hawajakudatisha kabisa?? Kwamba haujaopoa hata mmoja kweli huko??
Ndiyo. Mwanamke halisi wa Kiafrika ndivyo anapaswa kuwa hivyo. Hii dhana ya urembo wa Kimagharibi eti mwanamke lazima awe mifupa mitupu mi kwa kweli inanikwaza sana. Please I am pleading with you; usijikondeshe
 
Daah Shimba bhana kwahiyo wewe wanawake wa huko hawajakudatisha kabisa?? Kwamba haujaopoa hata mmoja kweli huko??
Niko home Koromije mimi siku nyingi mbona? Hakuna mwanamke hapa duniani anayeweza kushindana na mwanamke wa Kiafrika mwenye umbo halisi la Kibantu. Hakuna. Sasa nyinyi mnajiharibu kwa kujikondesha mpaka mnabakia mifupa mitupu bana. Mkijikondesha basi angalau mbakizepo vinyama nyama angalau vya kujishikiza shikiza. Hampendezi kabisa !!!
 
Back
Top Bottom