DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,503
- 29,912
usiwaze mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MUNGU anakuona
usiwaze mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
MUNGU anakuona
We omba tu mama, mi mwenyewe najisikia burudaniii nikikuta picha za wadada kuliko za wakaka. Hebu wadada msiniangushe, dondosheni mapicha picha sasa[emoji6][emoji6]
Why hard mkuu ?Hard
Zimetiririka picha za watoto wazuri huko juuMmeweka picha au mmejaza maneno tu? Mniambie kwanza kabla sijaanza nilipoishia.
Jamani Dada naomba Picha japo moja jamaniMefurahi mimi jamani kaka
Kumbe!! Ngoja nirudi.Zimetiririka picha za watoto wazuri huko juu
Mtoto wewe unanitesa moyo wangu wewe
Ila nimependeza eeh?usiwaze mkuu
Aiseeeee. Mbona mimi hujawahi kuniomba nikakukatalia ?
Dah,dada mzigua hii picha yako imenipa mfadhaiko wa moyo
Kwenye Top 2 Sijui nakukosaje Rafiki!!
Umeziweka wapi?nimeweka na zingine nicheki
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Talk to me. Am I lying ?Hahahaha nyau wewe
Saint Anna
Altar Wine
Robertson
Dompo
Konyagi
K Vant
Budweiser
Serengeti Lite
Safari
Balimi
Windhoek
Heineken
Smirnoff
Castle Lite
Amarula
Zanzi
Savanna
Tequila
Amstel
Valeur
Wale wachomoa betri wameufyata maana picha zinazowekwa kwenye huu uzi hawaamini kuna Visu.Msubhate [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] sio kwa mafoto hayo, walah we ni mkali. Haya wale wa fyoko fyoko mlotuzoea sie tulofanana na babu zetu halafu hatuna kazi mkuje muongee tena.
Sijui wengine kwangu mie ushaingia zamani kabla hata uzi haujaanzishwaSigusi hata top 3. Labda niwe wa 9 huko
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wale wachomoa betri wameufyata maana picha zinazowekwa kwenye huu uzi hawaamini kuna Visu.