Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Mbona unamtesa babuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana bby wangu. Kwanini?
Hapana bby wangu. Kwanini?
Next month I'll be in Tanzania, will contact you Mr [emoji846][emoji846]
Na hapa.Hey, He was my friend aliomba ushauri kwangu so the best way nikaja hapa kuomba ushauri and nashukuru nilipata kitu cha kumueleza and mahusiano yake kwa sasa yako safi [emoji846]
Mkuu, wewe ni ke au me? Au unaweka picha za demu wako? Usinielewe vibaya lakini [emoji2221][emoji2221][emoji2221]
View attachment 1249253
Msubhate [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] sio kwa mafoto hayo, walah we ni mkali. Haya wale wa fyoko fyoko mlotuzoea sie tulofanana na babu zetu halafu hatuna kazi mkuje muongee tena.
Hii picha itasababisha uzue taharuki katika "PM INBOX" yako mkuu. Usije ukaambiwa uripoti katika kituo chochote cha polisi kilicho karibu yako (Kama Idriss) [emoji38]
Mbona unamtesa babuu?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji12][emoji12][emoji12]Kabla sijakata uzito kadhaa.View attachment 1249229
Umeona eeehhAnaenda fanana na mimi kwa mbali
Unamaanisha niniiiiiUsijefuta kauli
Umeficha nini eti jamani hapo ulipoweka mkono
Acha kutoboa toboa bana! Huyo ndo mrembo wa JF!
Bora uendelee kuwa kibonge, kwa kweli sijapenda ulivyojikondeshaKabla sijakata uzito kadhaa.View attachment 1249229
Unamaanisha niniiiii
Ndo yeye konda wa daladala ya mbagalaUnachungulia nini??
Halafu kama nakufananisha vile[emoji848][emoji848]
Bora uendelee kuwa kibonge, kwa kweli sijapenda ulivyojikondesha