Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Msubhate katuwakilisha vyema kabisa
Msubhate [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] sio kwa mafoto hayo, walah we ni mkali. Haya wale wa fyoko fyoko mlotuzoea sie tulofanana na babu zetu halafu hatuna kazi mkuje muongee tena.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]asante
Mungu wangu sumu zote zimeshapita kwenye koo langu na kutua kwenye mabandama, finyango na maini bila kusahau figo
Huruma Zaidi ni koo na kifanyio kwakuwa hizo ndio inlet na exit sumu zilipita[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
At job
Screenshot_20191030-205250.jpeg
 
Back
Top Bottom