Ndiyo mkuu ni maji. Ni ka-neighborhood kapya kalikozungukwa na maji...
Kwa nini unayaogopa hivyo? Ulishawahi kuzama au ni hofu ya kawaida tu ya maji (aquaphobia)?
Fanya kila juhudi ujifunze kuogelea kama hujui. Ni skill ya muhimu sana ambayo hujui ni wakati gani utaihitaji. Siyo kamanda
Pep amekuchukua kwenda kula bata kwenye hoteli ya nyota 10 halafu unashindwa hata kuogelea kwenye swimming pool