Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,818
- 233,249
Achia dimpo hizo
Achia dimpo hizo
🤣sasa emoj za mawe za nn? Unataka utupopoe?
Love is a beautiful thing created by God (beautiful)Nitakuja tuuuuu. Ngoja nimalize kuosha masufuria 🤣🤣🤣🤣
Wakamueni tu kila kitueeeeh ndyooooh dada ake.
![]()
1970 the selecao.sambafootWale mliokuwa mnafuatilia mpira tangu enzi za 'super brazil' hadi sasa eti ya kweli hayaView attachment 2162708
Sasa mtu anataka uchepuke naye for free??Tawileeee
Asante mno mno, umenipa moyo sana, hilo litawezekana kwani hakuna kisicho wezekana chini ya jua.Pole sana mkuu, ila jitahidi kuvumilia hiyo hali itakuja tu kuisha na utamuenjoy mkeo as long as hachepuki hilo ndio la muhimu.
Usichoke kumvumilia na kumpenda, huyo ndio atakufaa kwa nyakati zote, huku nje majanga tu utapendwa ukiwa na hela basi
Bahati nzuri wa buku 5 wamejaa tele tena wamejawa mno halafu wako vizuri.Sasa mtu anataka uchepuke naye for free??
Inatakiwa ukitoka hapo unakuwa ushamvuna hela za kutosha kama biko wanavyovuna buku za maelfu ya watu.
Hii itasaidia baba zetu,waume zetu kupata akili.
Litawezekana kabisa, it's just a matter of time.Asante mno mno, umenipa moyo sana, hilo litawezekana kwani hakuna kisicho wezekana chini ya jua.
Ila uanaume wangu nao unasumbua!
Shida iliyopo wengi ndo wale wanafanania na mamajusiHofu ya mungu wengi wanayo walokole wale deep wako static Sana
Umeongea vizuriWe kaka hebu kuwa serious bas, usitafute binti wa watu ili akulele kiumbe chako, huyo uliyezaa nae yuko wapi? Km nyie mliozaa na mnajua uchungu wa huyo mtoto mnashindwa, ila huyo asiyehusika ndo ataweza?
Labda awe ni mlezi tyuuh wa huyo mtoto wako, na umpe malipo yake km iendanavyo na hiyo kazi, ila usiwekee km mke ili tu uwin lengo lako la mwanao kulelewa n hapana.
Acheni kutesa watoto wa watu hisia zao, yaan yeye anakuja kwako kwa mapenzi na upendo juu yako, na sio kuja kubeba jukumu la mwanamke mwenzake aliyeshindwa, yeye anakuja kwako ku enjoy nafas yake kwako na muyafurahie nyie wawili, aidha km watoto mtazaa wakwenu nyie km nyie.
Sipendi hii tabia ya watu kubebeshwa mizigo isiyo yao, wee na huyo mlozaa mtoto mtafute namna gan mtoto atapata malezi bora na sahihi kwa upande wenu tyuuh, na sio kuhusisha mtu asiyehusika.
Km ambavyo single mama wanavo sakamwa na kwa single baba ni hivyoo tyuuj. Binti wa watu aje apate tabu ya kulea mtoto sio wake, vitimbwi na matatizo kila kukicha, bado gubu za ndugu mtoto anateswa woiiii. Khaaaah.
Kila mtu ashinde match zake bhanaaa. Uwiiiiiiih.



😂😂😂😂Sasa mtu anataka uchepuke naye for free??
Inatakiwa ukitoka hapo unakuwa ushamvuna hela za kutosha kama biko wanavyovuna buku za maelfu ya watu.
Hii itasaidia baba zetu,waume zetu kupata akili.
Hawa wa huduma huwa sanasana wanatoka na kaka zetu mahandsome boy wa kuitwa Mario.![]()
Ila pia sio wanawake wote wanachepuka kwa ajili ya hela, kuna wengine wanahitaji huduma tu basi pesa wanazo zao za kutosha
Basi kazeni mwendoBahati nzuri wa buku 5 wamejaa tele tena wamejawa mno halafu wako vizuri.
Ndio na kuna wale mke wa mtu anachepuka na mume wa mtu kisa wenzi wao hawawapi attentionHawa wa huduma huwa sanasana wanatoka na kaka zetu mahandsome boy wa kuitwa Mario.
🤣🤣 jipe tu moyo ili hali wajua fika mambo haziko hivyo.Bahati nzuri wa buku 5 wamejaa tele tena wamejawa mno halafu wako vizuri.