We kaka hebu kuwa serious bas, usitafute binti wa watu ili akulele kiumbe chako, huyo uliyezaa nae yuko wapi? Km nyie mliozaa na mnajua uchungu wa huyo mtoto mnashindwa, ila huyo asiyehusika ndo ataweza?
Labda awe ni mlezi tyuuh wa huyo mtoto wako, na umpe malipo yake km iendanavyo na hiyo kazi, ila usiwekee km mke ili tu uwin lengo lako la mwanao kulelewa n hapana.
Acheni kutesa watoto wa watu hisia zao, yaan yeye anakuja kwako kwa mapenzi na upendo juu yako, na sio kuja kubeba jukumu la mwanamke mwenzake aliyeshindwa, yeye anakuja kwako ku enjoy nafas yake kwako na muyafurahie nyie wawili, aidha km watoto mtazaa wakwenu nyie km nyie.
Sipendi hii tabia ya watu kubebeshwa mizigo isiyo yao, wee na huyo mlozaa mtoto mtafute namna gan mtoto atapata malezi bora na sahihi kwa upande wenu tyuuh, na sio kuhusisha mtu asiyehusika.
Km ambavyo single mama wanavo sakamwa na kwa single baba ni hivyoo tyuuj. Binti wa watu aje apate tabu ya kulea mtoto sio wake, vitimbwi na matatizo kila kukicha, bado gubu za ndugu mtoto anateswa woiiii. Khaaaah.
Kila mtu ashinde match zake bhanaaa. Uwiiiiiiih.