Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wale mliokuwa mnafuatilia mpira tangu enzi za 'super brazil' hadi sasa eti ya kweli haya
Screenshot_20220324-084520_Pinterest.jpg
 
Ujue kuna ile ku play unafasi wa gf na bf hapa vizinga ni controllable. Na tunajilisha vizuri

Ila nikijua am mchepuko for 100% wallah hata vocha nashindwa jinunulia.

[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28]
Asante umenisaidia kumjibu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Yaani mtu akuweke mchepuko,halafu mtumie hela zako!utakuwa wendawazimu huu..
Ukiwa mchepuko siyo hela ya vocha tu!; inatakiwa hata sauti tu unayoongea neno moja ilipiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Asante umenisaidia kumjibu[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

Yaani mtu akuweke mchepuko,halafu mtumie Hela zako!utakuwa wendawazimu huu..
Ukiwa mchepuko siyo Hela ya vocha tu!; inatakiwa hata sauti tu unayoongea neno Moja ilipiwe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa binti wa Abiud kasema, mie nani nipinge na nisitekeleze.?
 
Back
Top Bottom