Selfika na JF: Snap it. Show it

Leo nimefanya kazi kiboss sana

Za kunitoa nje zote nimewapa students wanisaidie.
Jua halijanipata hata [emoji19] ila sielewi nini shida.. au sina maji mwilini [emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dents wanakua watumwa woiiiiih.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na wanavyokuwaga na moto sasa, full kujishughulisha[emoji28]

I know you needed that laugh[emoji23]

Na hyo hali ya hewa, had saa nyingne unatamani uwe mtoto uweke poti pembeni kuepusha rout za kususu kila saa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watoto wa field hao? Wanakuwaga na moto mno yaan.
 
Yaan mixer dada this dada that [emoji1787]

Niko busy mie niache [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Aaah nyie ndio wale mnasusulia visado[emoji1787][emoji1787][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…