Kaka Chica Gee ni pisi sana 😊
Usininambie mkuu! Mweupe? 😊
Kaka Chica Gee ni pisi sana 😊
Chica Gee ni mfano halisi wa uumbaji wa mungu 😊.Usininambie mkuu! Mweupe? 😊
Chica Gee ni mfano halisi wa uumbaji wa mungu 😊.
Nani huyo chino akeee😅Ananikwaza, ananiumiza roho na pata ghazab ila nakaza roho!
Nimemuonyesha shem wako kaniuliza, “Unaongozana na nani ukiwa umevaa huo upuuzi?” 😹😹😹Wa motooo, nilimwambia Lamomy hata kipensi kitakuwa kizuri cha uzi.
Udugu pita nione rangi ya mtume, tena upite kwa kishindo cha wakoma kushangilia ushindi wa mnyama..!! 😹
Ni kweli shem anajua.Nimemuonyesha shem wako kaniuliza, “Unaongozana na nani ukiwa umevaa huo upuuzi?” 😹😹😹
Kasema nguo za beach hizo acha ushamba..!! Nimecheka sina hamu.!
Yani wwUmepoa adi naogopaKwanini mallerina😁
Kanishushua bana sina hamu 😹Ni kweli shem anajua.
Ila mi nataka kununua nivae kawaida. Naona hadi magauni ya uzi siku uzi yanashonwa.