Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Uchawi hauanzii pale unapojua kupaa na mfagio au ungo, Unaanza siku unapo wachukia watu bila sababu 😎😎
Unaniona lofa eeh😀😀Sio kihivyo mwanetu 😘
Nibless na selfie 1 basi





mlongo wee nae kumbe mpana hivi? UwiiiiiihNruhusu nisimame,nikuruhusu ulale

Dah!
Nami nilikuwa hapa nategeshea nisafirie mgongo wa Anna. Nilifikiri utaselfika hapa hapa. Sasa PM kwa Anna tena dah!






Tunaotumia oppo tunadharaulika sn😔😔😔😔 jamani my Queen.. thamani yako haiendani na koppo
Nifanye jambo 😎😎😎Anza wewe halafu nije nimalizie unyama..😂
Wait..are u karma?
Haina kulala!Nifanye jambo 😎😎😎
Poleeeh dea.Glory be to God ‘madam ooh
Ulcers zinatesa watu, kuna mdada huku alikuwa mpaka analia. Na ni mdada mkubwa.
Zamani nilikuwa naumwa tumbo vbaya mno, nikichelewa kula lunch nikala zaidi ya saa 6 cha moto nakipata.
Kwenda hosp nikaambiwa nina H. Pylori
Dr. Akanambia zingatia dawa ‘zilikuwa ni omeprazole… zingatia haswa usije pata ulcers kabisa.
Nikawa msikivu, mpaka sasa sijakutana na ile hali tena.
Nikikumbuka yale maumivu alooh tena tu ni bacteria, sitamani hata kupata picha ya mgonjwa kabisa.
Ningekuwa mfwatiliaji wa akina Diamond huko na alikiba sijui konde vanny
Yaani wapinzani wangu wangekoma







Dah..haya bwana😅Mie natuma kwa ke tu ! Labda usubirie kugombania za mwanaume mwenzio Akitupia humu!
Ameeeeeeeeeen!!!!Mtu yeyote kusema amebatizwa
Yampasa kuchunguza sana maana
Neno batizo ni neno la lugha ya kiyunani
Maana yake kuzamishwa kabisa
Ndani ya maji
Ishara ya kufa na kufufuka
Biblia nayo iko wazi sana
Ikisema Yohana Mbatizaji
Alibatizwa mtoni Yordani
Maana ndiko kwenye maji mengi
Basi nendeni kote mkahubiri habari njema mmh
Habari ya wokovu tulopewa
Na kila aaminiye abatizwe
Tena azamishwe ndani ya maji
Neno linasema aaminiye
Abatizwe ndani ya maji
Vipi kwa watoto itakuwaje tukitaka kuwabatiza?
Neno liko wazi
Aaminiye
Na mtoto hawezi kuamini
Wala hawezi kuzamishwa majini
Basi nendeni kote mkahubiri habari njema
Mmh
Habari ya wokovu tulopewa
Na kila aaminiye abatizwe
Tena azamishwe ndani maji
Ambassadors of Christ Choir_Ubatizo
Happy sabbath Day to all SDA members
Wee mwanaume ujue!!Dah..haya bwana![]()
Kumbe nyie ni waarabu wa Pemba !!? Leo mnaitana baby kesho Depal anakuja kuwasha Moto sitaki mazoea
9.8ms squared






kwani huwa unachukulia serious humu? Unaenda na beat LA siku husika tyuuh.Haha muandiko upi sasa satohWait..are u karma?
Naona Sura mpya Ila mwandiko wa zamani!!


Nilikutegemea
Kumbuka huyo mpemba ndiyo alianza kunizomea
Jiongeze mwanetu
Mwenzako Extro alishatuacha baada ya kushindwa kuelewa ni kina Romeo au tunasagiana kunguni![]()







