Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

1647154971863.jpg

Nice Night ndugu zangu 🙏🙏🙏
 
Nimekupata Yesu
Nimekupata Bwana
Sitahitaji Tena Bwana
Ndiwe hitaji langu
Ngome yangu na mwamba
Tegemeo langu katika hali zote

Jaza moyo wangu
Upendo nikupende

Nataka nitembee katika upendo wa dhati
Upendo ule ule wa kweli upendo usiobagua
Upendo uletao umoja,furaha na amani..
Upendo wa kimungu pekee ulio Bora


Wapenzi wa dunia
Wengi wadanganyifu
Mnapo katika hali nzuri mko wote
Lakini
Katika matatizo
Wote wanikimbia
Wewe nimekupata nitakushikilia

Nataka nitembee katika upendo wa dhati


Nakukaribisha Bwana
Uyatawale maisha
Yetu ya kila siku
Tufundishe kupanda mbegu
Za upendo wa dhati
Mwisho wa nyakati
Tuweze kuvuna matunda ya ukamilifu

Tengeneza upendo
Kwa waliooana
Dumisha ndoa zao
Amani itawalee
Imsrisha ...na udhaifu wao
Familia iwe mwanga wa.......



Ambassador of Christ
 
Ujumbe wa muhimu sana kamanda. Annual physical exam literally saved my life. Something terrible was brewing up and I was lucky that I caught it early through a routine physical exam.

Sisi (hasa wanaume) tuko wagumu sana kwenda hospitali mpaka tuumwe. Wakati mwingine inakuwa tayari tumeshachelewa. Ni vizuri sana kuwa na tabia ya kucheki afya kila mwaka. Na kwa wahenga wenzangu ambao wako at least above 40, hakikisha unajua namba za presha yako pamoja na sukari. Matatizo haya yanaweza kuzuilika kwa kubadili mfumo wa maisha tu kabla hujaingia kwenye kutumia madawa makali ya hospitalini ambayo ni ya kudumu na yenye side effects kibao. Na kila mwaka angalia ini lako, figo, moyo, pancreas, prostate, mapafu na viungo vingine vikoje.....

Aisee unaweza kugonga 76 na ukawa bado unapata ile kitu roho inapenda (sita kwa sita) na kwingineko.... Mungu ni mwema

View attachment 2155648
Tuendelee kukumbushana Mkuu, Mimi pia ni mzito sana kwenda Hospitali hadi niumwe serious ambapo Kwa Mwaka labda mara moja au mbili malaria ikinipiga sana.

Hiyo paragraph ya mwisho nimeielewa, ndiyo maana ukisoma bible hata akina Mfalme Daudi, Suleiman, hata Baba wa Imani Ibrahimu aliweza kulala na vigoli ( Mabinti) katika siku zao za Uzeeni seems walikuwa fit kiafya ndiyo maana waliweza mbilingembilinge za Vijana 🙊🏃🏃
 
Back
Top Bottom