Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 8,294
- 28,421
Tunaongea PM AnneEyce unajisikiaje unavyoninyanyasa?
Tunaongea PM AnneEyce unajisikiaje unavyoninyanyasa?
Unyamaaa 😂😂 ila changamoto kwenye implementationIf it comes back again, Throw rocks at it [emoji28]View attachment 2156200
Mweee[emoji26]Tunaongea PM Anne
Mimi na HS tutakuwa na zawadi yako specialHahaha [emoji1545]
FOA beib 😻
Hahahha noma sana ..Unyamaaa [emoji23][emoji23] ila changamoto kwenye implementation
wanatumia sana Auto tune kama T-Pain ambazo zilipitwa na wakati.. but ka wimbo ni motoo..FOA beib 😻
Huo wimbo mzuri sana, ila tone la Mond me sijaliewa haki. Bora hata chorus kaimba vizuri…
Fine fine fine 🤸🏻♀️
nawewe pia mkuu[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji444][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443]Mtu yeyote kusema amebatizwa
Yampasa kuchunguza sana maana
Neno batizo ni neno la lugha ya kiyunani
Maana yake kuzamishwa kabisa
Ndani ya maji
Ishara ya kufa na kufufuka
Biblia nayo iko wazi sana
Ikisema Yohana Mbatizaji
Alibatizwa mtoni Yordani
Maana ndiko kwenye maji mengi
Basi nendeni kote mkahubiri habari njema mmh
Habari ya wokovu tulopewa
Na kila aaminiye abatizwe
Tena azamishwe ndani ya maji
Neno linasema aaminiye
Abatizwe ndani ya maji
Vipi kwa watoto itakuwaje tukitaka kuwabatiza?
Neno liko wazi
Aaminiye
Na mtoto hawezi kuamini
Wala hawezi kuzamishwa maji
Basi nendeni kote mkahubiri habari njema
Mmh
Habari ya wokovu tulopewa
Na kila aaminiye abatizwe
Tena azamishwe ndani maji
[emoji173][emoji173][emoji173]
Ambassadors of Christ Choir_Ubatizo
Happy sabbath Day to all SDA members
Asante Chief[emoji120]nawewe pia mkuu
Kumbe nyie ni waarabu wa Pemba !!? Leo mnaitana baby kesho Depal anakuja kuwasha Moto sitaki mazoeaFOA beib [emoji76]
Huo wimbo mzuri sana, ila tone la Mond me sijaliewa haki. Bora hata chorus kaimba vizuri…
Fine fine fine [emoji2224]
ebu niache na my love my sweetheart Depal 💞Kumbe nyie ni waarabu wa Pemba !!? Leo mnaitana baby kesho Depal anakuja kuwasha Moto sitaki mazoea
9.8ms squared
Acha sweet nikutumie huawei 40mate.. ilo ni gereza 😀😀Hizi simu zenu jamani, hamna hata kudownoad 😀 9.8ms squared View attachment 2156243
Nilikutegemea 🤣🤣🤣🤸🏻♀️🤸🏻♀️🤸🏻♀️Kumbe nyie ni waarabu wa Pemba !!? Leo mnaitana baby kesho Depal anakuja kuwasha Moto sitaki mazoea
9.8ms squared
Next move naona itakuwa oppo… ili gereza kuna muda litamu, kuna muda nikishindwa kufanya ka kitu naikumbuka my tekno 😂Acha sweet nikutumie huawei 40mate.. ilo ni gereza 😀😀
AlaaahMiss u more sweetheart [emoji41]
Weeeee..Nyie watu mnatufanya mafala sn sisina mie nime kumiss sweetheart [emoji41][emoji41]
Wikiendi hii..naona kuku anaandaliwa kunyonyolewa manyonyaAcha sweet nikutumie huawei 40mate.. ilo ni gereza [emoji3][emoji3]