Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
DahMnadhani wanaume hatufulii,Hilo ndy tatizo lenu kubwa wanawake..Na Kwa sababu ya ego wanaume tunakufa mapema na Tai zetu shingoni tukijifanya hakuna mawimbi yanayotupiga
Yaani mwanaume unakujaje kugombania vocha hapa na wadada, Tena vocha alizoweka mwanamke









