Ujue Eyce ningekuwa nishalala..nasubiri picha ujuedaahh Anna
unafaa kuwa agent

Hongereni mliooa na kuolewa maana ndoa ni head ache, few nice stories ila kwa wengi ni matatizo tuGod honors marriage ; ndiyo maana hata alifananisha uhusiano wa mke na mume; na uhusiano wa Kristo na Kanisa. Changamoto nyingi sana zinakuja kwa sababu ya kuvunja misingi ya familia. Na shetani since anajua jinsi Mungu anavyoiheshimu ndoa; na zaidi ndoa ni kusudi la Mungu; hatoacha wanandoa waishi kwa amani; changamoto kama zote. Ndoa/familia ikiwa utulivu; utaona hata kwenye nyanja nyingine kuna utulivu pia; ndoa/familia ikivunjika; madhara yake tunayaona. Tunaishia kuishi kinyume na mpango na kusudi la Mungu; na kilicho nje na mpango wa Mungu; aisee utaona jua litakavyowaka
Binamu unaongeaga kibiblia sanaa!!!kama sio wewe mwenye kishunduumenena vyema kabisaa
Watu wanakiuka misingi ya Mungu baaasiiii!!
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app







Unakimbilia wapi sasa?Usiku mwema guizz wa selfika, byeeeeh![]()
Mnooo!!!yaani umefanya usiku wangu kua boraaa mnooNimewachekesha inatosha ndugu zangu![]()
Selfie kwanza pleaseUsiku mwema guizz wa selfika, byeeeeh![]()
Libebe na ufanyie lamination kabisaaAsante bina
Nimechukua desa




Na shem wetu akifika hapo atafanya usiku uwe mzuri zaidiMnooo!!!yaani umefanya usiku wangu kua boraaa mnoo
Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app

Na mimi nilikuvizia hadi nikakutumia picha humu humu maana PM ulizidi ubishi 😁😁. Najua kuongea sana ila sipendi kuongea sana , usinioneeUjue Eyce ningekuwa nishalala..nasubiri picha ujue![]()
Ameeeen

Hapo sawa mlongo, umepiga hatua kubwaa mno.![]()





nakupendaaEyce usinitanie ujueNa mimi nilikuvizia hadi nikakutumia picha humu humu maana PM ulizidi ubishi. Najua kuongea sana ila sipendi kuongea sana , usinionee

Mmewe karudi wanazagamuana!!Unakimbilia wapi sasa?
Na shem wetu akifika hapo atafanya usiku uwe mzuri zaidi![]()










dogo acha baasi matusiii!!!!




😁 Hivi Anna unajua hivi sasa ni saa 1:40 am . Niachie kwa muda nilaze hiki kichwa maana kesho nayo sikuEyce usinitanie ujue![]()
Ameen ameen!abarikiweeKawaida yake huyu brother.
Amenisaidiaga sana kipindi napitia magumu..hata kusema nashindwa.
Wakati wengine uliodhani ni ndugu zako wanakutupa..Mungu anainua watu wa kukusaidia.
Mungu amuweke sana huyu kaka.
Huwa namuombea mno..wema hauozi.
Ameenn
Mungu wa Mbinguni awatunze mno
Shetani asipate nafasi.
Mungu akarejeshe miaka iliyoliwa na nzige ..miaka ya machozi yote akaifanye kuwa furaha maradufu![]()








luv yuuuuu