Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,758
Next move naona itakuwa oppo… ili gereza kuna muda litamu, kuna muda nikishindwa kufanya ka kitu naikumbuka my tekno 😂
Oppo ya huyu dada angu hapa Waseme ni moto. Kumoyo nilizielewa zile picha tulipiga orlando 😻
Utaki tena Huawei 😎😎😎..
ila unaweza download.. nitakupa maujanja




